Uhusiano Kati ya Huduma Ya YESU na Ile Ya YOHANA MBATIZAJI Kama Ilivyoandikwa Katika Injili Nne

10. Yesu Aliyekuja Kuzitoweshea Mbali Dhambi Zako (Mathayo 3:13-17)


Listen Later

Hata Wakristo wa leo wanakiri kuwa wanamwamini Yesu kuwa ni Mwokozi wao, lakini wengi wao hawafahamu kuwa Yesu ni Bwana aliyetukomboa toka katika dhambi zetu zote kwa kupitia injili ya maji na Roho. Hivyo ni muhimu sana kuwathibitisha kwa kutumia injili hii ya maji na Roho kuwa kwa hakika Yesu ni Mwokozi. Kwa kuwa wote wanazaliwa kama wenye dhambi, basi wote wanapaswa kuamini katika injili ya maji na Roho ili waweze kuoshwa dhambi zao. Kwa maneno mengine, ili waweze kuzaliwa tena upya, ni lazima waamini katika injili ya maji na Roho, na wanaweza kumwona Bwana mara watakapoamini hivyo tu. Kupokea ama kuto kupokea ondoleo la dhambi na kuzaliwa tena upya kunategemea ikiwa tunamwamini Yesu Kristo kiusahihi.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Uhusiano Kati ya Huduma Ya YESU na Ile Ya YOHANA MBATIZAJI Kama Ilivyoandikwa Katika Injili NneBy The New Life Mission