Uhusiano Kati ya Huduma Ya YESU na Ile Ya YOHANA MBATIZAJI Kama Ilivyoandikwa Katika Injili Nne

9. Uhusiano Kati ya Kazi ya Yohana Mbatizaji na Injili ya Upatanisho wa Dhambi zetu (Mathayo 21:32)


Listen Later

Katika Injili ya Yohana sura ya 1 aya ya 6-7 imeandikwa hivi kumhusu Yohana Mbatizaji “Palitokea mtu ametumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. Huyu alikuja kwa ushuhuda, ili aishuhudie ile nuru, wote wapate kuamini kwa yeye.” Katika kifungu hiki, Mtume Yohana anashuhudia umuhimu wa ubatizo ambao Yohana Mbatizaji alimpatia Yesu huku akiuhusianisha na injili ya wokovu.

https://www.bjnewlife.org/
https://youtube.com/@TheNewLifeMission
https://www.facebook.com/shin.john.35

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Uhusiano Kati ya Huduma Ya YESU na Ile Ya YOHANA MBATIZAJI Kama Ilivyoandikwa Katika Injili NneBy The New Life Mission