Pamoja na kuongezeka kwa kiwango cha juu cha joto juu ya wastani, ukame, mafuriko, vimbunga, kubadilika kwa mgawanyo na muda mvua kunyesha
Mabadaliko ya Tabia Nchi yamekuwa tishio kubwa katika afya ya binadamu,hii ni kutokana na athari za kiafaya
zitokananzo na mabadiliko haya ikiwemo uwepo wa magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambikiza ikiwemo malaria, kuhara, kipindupindu, na magonjwa ya mfumo wa fahamu.