Dunia yaendelea kukabiliana na maambukizi ya Omicron
Shirika la afya duniani WHO linasema barani Ulaya nusu ya raia wa eneo hilo watakuwa wameambukizwa virusi vya Omicron katika kipindi cha miezi miwili ijayo.
Wewe unaendelea kuchukuwa tahadhari dhidi ya Covid 19.