Madhara ya madini ya lead nchini Nigeria na Kenya.
Makala ya wiki iliyopita iliangazia madhara ya madini ya lead nchini Nigeria na Kenya. Nchini Nigeria watoto zaidi ya mia 600 kutoka Zamfara na Niger walifariki dunia miaka 12 iliyopita na kumekuwa na kusafisha mazingira kuondoa simu ya Lead na kutoa matibabu kwa waathiriwa.