Zaidi ya raia laki tatu wameathirika na mafuriko nchini Sudan Kusini, watu kadhaa wakiripotiwa kufariki kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini humo.
Unadhani nini kinachangia mafuriko ya mara kwa mara barani Africa?