Sign up to save your podcasts
Or

Kabla ya Hosana – Kelele Bila Ufunuo ni Hatari
🎙️ Mwaliko Maalum:
Karibu kwenye kipindi maalum kutoka Voice of Hope – mahali pa mafundisho yasiyogoshiwa! Je, unajiandaa kwa Hosana yako? Au unaifuata kwa mkumbo wa umati? Episode hii ni lazima uisikilize na kuitafakari. Tafadhali subscribe, share, na acha maoni yako, ili ujumbe huu ufike kwa wengine pia. 👉 Link ya mafundisho kamili pia imewekwa kwenye bio!
📝 Maelezo ya Episode:
Kabla ya kelele za “Hosana,” kabla ya mafanikio, nafasi, au umaarufu – Yesu alijenga utayari wa ndani. Katika episode hii ya kwanza ya mfululizo wetu wa Sauti Isiyoelewa Kusudi Ndani ya Hosana, tunachambua maana ya kweli ya neno Hosana, na hatari ya kuifuata bila ufunuo wa kiroho.
Tutagusa maeneo nyeti kama:
“Hosana ni sauti nzuri, lakini inaweza kuwa sumu ikiwa haieleweki.”
📖 Maandiko Muhimu: Marko 11:9 | Yohana 6:38 | Mathayo 27:22 | Zekaria 9:9 | 1 Samweli 15:24 | 2 Timotheo 4:10
🎯 Episode hii ni kwa ajili ya wale wote wanaotaka kujengwa kiroho kabla ya kushangiliwa kijamii. 💬 Tazama, Sikiliza, Tafakari – na Jiulize: Nimejijenga kweli kabla ya Hosana yangu?
📲 Subscribe kwenye channel yetu ya YouTube na Spotify podcast: Voice of Hope Media. 🔔 Bofya kengele ya arifa – ili usikose somo linalofuata: “Sauti Ya Umati au Sauti ya Kusudi?”
#KablaYaHosana #VoiceOfHopePodcast #SautiYaKusudi #HosanaNaUfunuo #PodcastYaKiroho #YerusalemuYaLeo #AmkaNaKweli #HosanaZaMitandao #BibliaNaMaisha #UongoziWaNdani #GethsemaneKablaYaMakofi
By Pastor GKabla ya Hosana – Kelele Bila Ufunuo ni Hatari