Ripoti za kijeshi na zile za masharika ya kiraia, zinasema wiki iliyopita, watu zaidia ya 50 waliuawa Mashariki mwa DRC wakiwemo waasi, wakati huu wanajeshi wa Uganda na DRC yakiendelea kuwasaka waasi waz ADF.
Mwaka unapokaribia kufika mwisho, unaamini waasi wa ADF watatokomezwa ?
Nini matarajio yako kuhusu hali ya usalama Mashariki mwa DRC kwa mwaka wa 2022.