
Sign up to save your podcasts
Or


Dorena Jakobo, “Mama Eliyah”, alilelewa katika familia ya kipangani, lakini alivutwa na mambo ya kanisani. Mama Neema anaongea na Dorena Jakobo aliyekutana na vikwazo vingi maishani mwake.
By Soma BibliaDorena Jakobo, “Mama Eliyah”, alilelewa katika familia ya kipangani, lakini alivutwa na mambo ya kanisani. Mama Neema anaongea na Dorena Jakobo aliyekutana na vikwazo vingi maishani mwake.