
Sign up to save your podcasts
Or


Makala ya Nyumba ya sanaa wiki hii inamuangazia msanii wa muziki wa regae Mack El Sambo ambaye kwa zaidi ya miaka ishirini amekuwa akihimiza amani katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, hususan kwenye mji wa Goma katika mkowa wa Kivu Kaskazini. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mji wa Goma na kukutana na mwanamziki huyu..
By RFI KiswahiliMakala ya Nyumba ya sanaa wiki hii inamuangazia msanii wa muziki wa regae Mack El Sambo ambaye kwa zaidi ya miaka ishirini amekuwa akihimiza amani katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, hususan kwenye mji wa Goma katika mkowa wa Kivu Kaskazini. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mji wa Goma na kukutana na mwanamziki huyu..

311 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

0 Listeners

18 Listeners