Kwenye Episode hii ya 18 nimekupa sababu 5 kwanini unashidwa kuingiza pesa kupitia instagram. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali instagram www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts Ikiongozwa na Amani Longishu.