Hivi unajua caption tamu imeundwa na vitu gani? Kwenye Episode hii ya 19 utajifunza Viungo 5 usivyovijua ili kufanya Caption iwe Tamu. Sikiliza kisha share na mfanyabiashara. Niulize swali hapa⬇️ www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako na kuipa 5 stars Podcast hii kwenye Apple Podcasts.