Hii episode ni muhimu sana kuosikiliza na utapata maswali na jinsi gani ya kujiandaa na mitihani shuleni na mitihani ya nje. Jitahidi sana kufuatilia hizi episodes zitakusaidia sana kufikia malengo katika kusoma.
Pia, mwalimu atapata maarifa zaidi ktk kumuandaa mwanafunzi wake kukabiliana na mitihani yake. Maswali yenye kutumika kuuliza wanafunzi yanapatikana ktk episode hii na pia mwisho wa kitabu changu ''A Revised History for Advanced Level and Colleges - Part One
Take care
www.nashabimmsauthor.com