Je unahangaika kujenga uaminifu instagram wewe kama mfanyabiashara kwenye ukurasa wako wa kibiashara? Katika episode hii ya 24 nimezungumzia njia za kujenga uaminifu kwenye instagram. Kumbuka kushare na mfanyabiashara aje ajifunze. Niulize swali hapa⬇️ https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia