#8: Jinsi ya kupata comments nyingi kwenye instagram
Katika episode hii kwenye Mjasiriamali Digital Podcast, ikiongozwa na Amani Longishu. Nimeelezea njia saba(7) ya kupata maoni mengi kwenye chapisho lako instagram. Sikiliza na Share na mwenzako.