Story za Siku:
- Kim Kardashian na mahusiano yake mapya.
- Wizkid hajapoa, ametangaza kutoa Album mpya hivi karibuni.
- Adele ametoa list ya nyimbo za Album yake mpya.
- Tesla imeanza kuruhusu aina nyingine za magari kuchaji katika vituo vyake.
- Snapchat, Facebook, Twitter na YouTube zimepata hasara ya zaidi ya Dola Bilioni 9.8.
- Uhispania imefanikiwa katika Teknolojia ya kuwezesha vipofu kuona.