Voice Of Philip Miyawa

AGIZO LA RAIS KUHUSU UKEKETAJI LATILIWA SHAKA


Listen Later

Serikali ya Kenya chini ya uongozi wa Rais Uhuru Kenyattaa iliahidi kuangamiza kabisa tabia ya ukeketaji wa wanawake hapa nchini ifikapo mwaka wa 2022.

Mwanahabari wetu Philip Miyawa alitembelea vijiji vya Kuria katika county ya Migori ambapo tabia hii bado imekita mizizi miongoni mwa jamii na kutathmini juu ya uwezekano wa jamii hiyo kuwachana na mila hii potovu ifikapo mwaka ujao.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Voice Of Philip MiyawaBy Philip Miyawa