Story za Siku:
- Album mpya zilizotoka weekend hii
- Young Thug amemtaja Drake kuwa ni mtu ambaye yupo Real katika Industry ya mziki
- Travis Scott na Don Toliver kwenye stage
- Netflix imepata faida kubwa katika Series ya Squid Game
- Apple Event - Leo Usiku
- Drone zinatumika kusafirisha damu, dawa na viungo vya mwili kuokoa maisha ya wagonjwa.