DAKA CODE

Album ya Donda imetoka | iPhone 13 kuwa na uwezo wa mawasiliano na Satellite | App 5 bora kwa ku-edit picha


Listen Later

Story za Siku:
- Album ya Donda imetoka
- Drake anakaribia kutoa Album
- iPhone itakuwa na uwezo wa mawasiliano ya Satelite
- Twitter imeweka uwezo wa kuuza tiketi za Twitter Spaces.
- Internet (mtandao) kwa miaka ijayo
- Clubhouse imeweka uwezo wa Spatial Audio
- App 5 bora za kuedit picture katika App Store na Play Store.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

DAKA CODEBy John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy