KaBrazen

Angelique Kidjo | Kiswahili


Listen Later

Msichana anayeimba, ukwepaji wa kijasiri na tamasha la kipekee kweli kweli! 

Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kimuziki ya msichana anayeeneza furaha kila aendako. Kutoka awe msichana mdogo aliyekua na kuwa mwanamuziki maarufu katika nchi yake, hadi kutoroka nyumbani usiku wa manane, na kugeuka na kuwa mwanamuziki mashuhuri wa kimataifa, Angelique hakuwahi kuwacha kuimba…na anatukumbusha kuimba , kucheza na kuota kila wakati!

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

KaBrazenBy The LAM Sisterhood