
Sign up to save your podcasts
Or


Katika maisha unapokuwa unafanya mapenzi ya Mungu, wale wanaoinuka dhidi yako yaani watesi wako na kwa sababu unafanya mapenzi ya Mungu basi watesi wako wanakuwa kinyume na Mungu. Kama uko katika mapenzi ya Mungu na unakutana na watesi, jipe moyo, maandiko yanasema watesi wako wataanguka.
By Pastor MsafiriKatika maisha unapokuwa unafanya mapenzi ya Mungu, wale wanaoinuka dhidi yako yaani watesi wako na kwa sababu unafanya mapenzi ya Mungu basi watesi wako wanakuwa kinyume na Mungu. Kama uko katika mapenzi ya Mungu na unakutana na watesi, jipe moyo, maandiko yanasema watesi wako wataanguka.