
Sign up to save your podcasts
Or


Kila mtu aliyezaliwa mara ya pili na ambaye ni manafunzi wa Kristo amejaliwa kuzijua siri za Ufalme wa Mungu. Mimi na wewe kwakuwa tumeamua kuwa wanafunzi wa Kristo tumejaliwa kuzijua siri za Ufalme wa Mungu.
By Mwalimu Huruma GadiKila mtu aliyezaliwa mara ya pili na ambaye ni manafunzi wa Kristo amejaliwa kuzijua siri za Ufalme wa Mungu. Mimi na wewe kwakuwa tumeamua kuwa wanafunzi wa Kristo tumejaliwa kuzijua siri za Ufalme wa Mungu.

0 Listeners