MATUMAINI PROG 1502TITLE: BABA YETU IBRAHIMUTEXT: WAGALATIA 3:6-9Hujambo msikilizaji wangi mpenzi na karibu tulichambue neno la mungu pamija. Jina langu ni david mungai. Wagalatia 3:6-9 baba yetu ibrahimu. Wimbo alfu tutaendelea.WIMBONaam karibu tena tulichambue fungu la nenp kutoka wagalatia 3:6-9 baba yetu ibrahimuKwanini ibrahimu alijulikana sana katika historia ya biblia? Jibu ni kwamba ibrahimu alikuwa […]