Kalamupro

Barua Kwa Ronoo:Akiba haiozi


Listen Later

Kati ya barua nyingi zitakazomfikia Rono, hii ni ya kwanza.

Barua hii inaangazia akiba na uwekezaji kwasababu tunaamini kwamba Rono ni mchapakazi na mpambanaji mwenye uthubutu hivyo kwa bashasha tunataka kuhakikisha mpendwa wetu Rono anakua amefanya uwekezaji utakao mfaa hapo baaadae kwani mchumia juani hulia kivulini!

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

KalamuproBy Titty&Kay