Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Maria: Mohamed, mimi hukimbia asubuhi kila siku
Mohamed: Huh, wewe hufanya hivyo kila siku?
Maria: Kila siku kabla ya kula kiamsha kinywa.
Mohamed: Hiyo ni njia mwafaka ya kuanza siku yako.
Maria: Ukweli. Utashinda ukiskia mwenye nguvu na mchangamfu
Mohamed: Mimi huchelewa kuamka kwa hivyo mimi huoga na kuanza shughuli za siku
Maria: Ala! hata kiamsha kinywa haukuli?
Mohamed: Ndio, mimi huoga na kuondoka.
----Formal English----
Ali: Mohamed, I run every day in the morning.
Mohamed: Wow, you do that on a daily basis?
Ali: Every day before eating breakfast.
Mohamed: That's an appropriate way to start your day.
Ali: True. You spend the rest of your day feeling happy and energetic.
Mohamed: I usually wake up late and so I just shower and start my daily activities.
Ali: What! You don't even take breakfast?
Mohamed: Yes, I just take a bath and leave.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!