Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Fatuma: Wikendi ijayo nataka twende safari.
Fadhili: Pia mimi. Tunaweza enda Mombasa tukafurahie upepo wa bahari na bichi.
Fatuma: Hilo ni wazo nzuri ndio hata tupite mbuga la wanyama huko Voi na njiani.
Fadhili: Ama twende tukaishi hemani huko Naivasha?
Fatuma: La...wikendi moja haitoshi.
Fadhili: Haya basi. Tupange twende wakati wa likizo ya Desemba.
Fatuma: Kwa hivyo, tuseme mipango yetu ni kwenda bichi wikendi ijayo na kwenda kuishi hemani likizo ya Desemba.
Fadhili: Hiyo ndiyo mipango yetu.
----Formal English----
Fatuma: I want us to go for a fun trip next weekend.
Fadhili: Me too. We can go to Mombasa and enjoy the ocean breeze and the beaches.
Fatuma: That's a good idea, so we can pass through the national park along the way.
Fadhili: Could we also go camping at Naivasha?
Fatuma: No... One weekend is not enough.
Fadhili: Ok then. Let's plan and go over the December holidays.
Fatuma: So our plans are to visit the beach next weekend and camping over the December holiday.
Fadhili: That's what our plans are.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!