Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Mwalimu: Sasa ni wakati wa somo la hesabu.
Maria: Mimi hulipenda hili somo sana.
Mwalimu: Leo tutasoma hesabu za asili mia, kuzidisha, kugawa na bei nafuu.
Maria: Mimi najua kuhusu bei nafuu kwa vile tukinunua vitu nyumbani mama yangu huangalia duka zilizo na bei nafuu.
Mwalimu: Je, unajua kuhusu kuzidisha?
Maria: Ndio najua ni kinyume cha kugawa.
Mwalimu: Ukigawa ishirini mara nne, jibu ni tano ambayo ni asilimia ishirini na tano.
Maria: Nimeelewa, na ukiunganisha nne mara tano, jibu ni ishirini.
----Formal English----
Teacher: Now it's time for a math lesson.
Maria: I like this subject very much.
Teacher: Today we will learn about calculations for percentages, multiplication, division and discounts.
Maria: I know about discounts because when we buy household goods my mom looks for shops offering discounts.
Teacher: Do you know about multiplication?
Maria: Yes, I know it's the opposite of division.
Teacher: When you divide twenty by four, the answer is five and the percentage is twenty five.
Maria: I understand, and when you multiply four by five, the answer is twenty.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!