Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Rehema: Habari yako bwana?
Mark: Mzuri dada. Nikusaidie vipi?
Rehema: Naomba unieleze njia ya kwenda kwenye hoteli ya Hilton.
Mark: Ukiwa hapa katika barabara ya Koinange, utarudi nyuma mita kama mia moja.
Rehema: Ehe halafu.
Mark: Ugeuke kushoto, ufuate barabara ya Moi mpaka ulione jumba kubwa yenye rangi ya samawati.
Rehema: Haya halafu nikifika hapo je?
Mark: Upenduke kulia halafu utaona maandishi.
Rehema: Imeandikwa Hilton Hotel?
Mark: Ndio.
Rehema: Haya asante.
Mark: Karibu.
----Formal English----
Rehema: How are you, sir?
Mark: I am fine, madam. How may I help you?
Rehema: Please direct me to the Hilton hotel.
Mark: From here on Koinange Street, go back a hundred metres.
Rehema: Yes...then...
Mark: Turn to your left, follow Moi Avenue up until you see a tall blue building.
Rehema: Okay, and when I reach there?
Mark: Turn to your right then you will see the big writing.
Rehema: Does it say Hilton Hotel?
Mark: Yes.
Rehema: Okay, thank you.
Mark: You're welcome.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!