Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Mama: Sasa una mipango ipi baada ya kuyapokea matokeo yako ya shule ya upili?
Ali: Natarajia kupata nafasi katika chuo kikuu.
Mama: Ulichagua vyuo vipi?
Ali: Nilichagua chuo kikuu cha Moi kwa nafasi ya kwanza, Nairobi kikiwa cha pili na mwisho cha Kenyatta.
Mama: Kwa hizo tatu nichuo kipi wakipendelea zaidi?
Ali: Chuo nilichochagua kikiwa cha kwanza.
Mama: Ikiwa utaendelea kufuzu kama vile ulikuwa ukifanya katika shule ya msingi..
Ali: Ehe..endelea...
Mama: Na ile ya upili, utaweza kuhitimu kwa nafasi ya kwanza.
Ali: Asante mama.
----Formal English----
Mother: Now what plans do you have after receiving your secondary school exam results?
Ali: I'm hoping to get a place at a tertiary institution.
Mother: Which schools did you select?
Ali: I selected Moi University as my first choice, Nairobi as my second choice, and my third and last choice is Kenyatta.
Mother: Among the three, which one do you like the most?
Ali: My first choice.
Mother: If you continue to perform the way you used to in primary school...
Ali: Mhm...go ahead...
Mother: In secondary school, you will graduate with first class honors.
Ali: Thank you, mom.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!