Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!
-------Lesson Dialog-------
----Formal ----
Maria: Habari ya asubuhi kijana?
Ali: Nzuri sana bibi.
Maria: Nimeona umeweka pesa yako kwa mfuko hadharani.
Ali: Ndio. Iko hapa.
Maria: Ni vizuri ujue ya kwamba wezi ni wengi kwa mitaa. Usifanye shughuli ya pesa hadharani.
Ali: Hapa ni kwa benki.
Maria: Ndio lakini wezi wajanja wanavaa suti na kujumuika na watu humu ndani.
Ali: Wewe ni karani wa pesa?
Maria: Ndio nimekuona nikaamua kukuarifu.
Ali: Haya basi. Asante.
----Formal English----
Maria: Good morning young man.
Ali: Good morning madam.
Maria: I have seen you put your money in your pocket in public.
Ali: Yes. It is here.
Maria: It is good you know that there are many thieves in the streets. Do not handle money in public places.
Ali: But we are in the bank here.
Maria: Yes, but smart burglars put on suits and interact with people inside here.
Ali: Are you a cashier?
Maria: Yes, I noted what you had done and decided to advise you.
Ali: Okay then. Thank you.
---------------------------
Learn Swahili with SwahiliPod101!
Don't forget to stop by SwahiliPod101.com for more great Swahili Language Learning Resources!