KaBrazen

Bessie Head | Kiswahili


Listen Later

Mapango yenye giza, vyura wasio na rangi na mwangwi wenye mafanikio! 

Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua inayohusu msichana aliyetumia sauti yake. Katika dunia ambapo baadhi ya watu walilazimika kuishi katika mashimo yenye upweke, ambapo walilazimika kunong’ona tu, Bessie alitumia sauti yake kubwa kuwapa watu wake matumani. Bessie anatukumbusha kwamba, kuzungumzia  ndoto zako kwa sauti kunaweza kuufanya ulimwengu uwe maridadi zaidi.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

KaBrazenBy The LAM Sisterhood