Sign up to save your podcasts
Or
Kabla ya kuanza kuisifu ile ming'ao ya zile medali zinazoning'inia shingoni mwa wanariadha nguli kama Usain Bolt, Alphonce Simbu, Eliud Kipchoge nakadhalika--Kuna kitu cha kukisifu kwanza, hususani kwenye ulimwengu wa ukimbiaji--Ni miguu ya yule msichana, iliyokimbia riadha ya ndani ya uwanja na ndani ya kilindi cha moyo wa binti mdogo aliyekuwa na ndoto kubwa.
Tafadhali sikiliza simulizi hii fupi ya mwanariadha, Elizabeth Robinson Shwartz.