KaBrazen

Bi Kidude | Kiswahili


Listen Later

Katika kipindi hiki cha KaBrazen, Tata Nduta anasimulia hadithi ya kusisimua kuhusu msichana aliyekuwa na ndoto ya kuimba. Bi Kidude aliimba kwa zaidi ya karne moja huko Zanzibar na kote kote duniani, na anatukumbusha kusikiliza kile kinachotufurahisha…kwani nyoyo zetu zinajua cha kufanya.

 

Tafadhali zingatia kwa makini:  Miongoni mwa mada zilizopo ndoa za utotoni na dhuluma ya kimwili dhidi ya mtoto. 

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

KaBrazenBy The LAM Sisterhood