Biblia Inasema Usiogope

Biblia Inasema Usiogope


Listen Later

Haya ni mafundisho ya Biblia yanayolenga kukupa ujumbe kwamba usiogope chochote wala yeyote. Sikiliza hii podcast kila jumatatu hapa kwenye anchor fm na katika platforms nyingine za podcast. Pia unaweza kuisikiliza kupitia pastormsafiri.blogspot.com

Mafundisho haya yanaandaliwa nami Pastor Msafiri.

Barikiwa.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Biblia Inasema UsiogopeBy Pastor Msafiri