DAKA CODE

Bifu la Drake na Kanye West | Instagram inafuta style ya Swipe-Up | Jinsi ya kutumia simu kuona usiku


Listen Later

Story za Siku
- Bifu la Kanye West na Drake
- Lil Uzi amesema Kanye West sio pastor wa ukweli
- Album mpya kali za mwaka huu
- Instagram inafuta mfumo wa Swipe-Up katika kufungua link katika Insta Stories
- TikTok imeweka sehemu maalum kwa creators kuweka AR Effects
- iPhone ya mwaka huu itakuwa na size ya tofauti katika Camera hump
- Jinsi ya Kutumia simu Usiku
Bless up!!!
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

DAKA CODEBy John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy