Usiache kufahamu EP ya Bruno Mars na Anderson .Paak kushiriki katika Grammy.
Fahamu story ya Mgunduzi wa Cassette ambaye amefariki wiki hii akiwa na miaka 94. Katika mazungumzo tumegusia kuhusu historia na miaka ya enzi za Cassette duniani.
Katika upande wa Photography tumezungumza kuhusu picha ambayo imetazamwa na watu wengi katika historia.
Shukran sana kwa wafuatiliaji na msiache ku-follow show hii ili kupata updates daily.
Daka Codeee!!!