Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS

Chris Biz aumbuka mbele ya mashabiki wake.


Listen Later

Mwanamuziki kutoka Nchini Burundi anayetambulika kama CHRIS BIZ ameumbuka mbele ya mashabiki wake baada ya kuonekana muongo kwa kushindwa kutimiza alichowaahidi. Kisa na mkasa wa hayo yote ni kuwa jamaa alijitoa nakuwatangazia mashabiki wake kuwa yuko anajiandaa kuachia wimbo mpya ambao utatoka na video,Lakini siku chache baadae jamaa aliumbuka pale alipojikuta wimbo huo ameuachia bila […]

The post Chris Biz aumbuka mbele ya mashabiki wake. appeared first on Swahilimedias.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIASBy Radio SWAHILI GRANDS LACS MEDIAS