DAKA CODE

Daka Code - Season 2 (Intro)


Listen Later

Karibuni tena fans wote wa Podcast hii ambayo inalenga kutoa updates mpya zinazohusiana na mambo ya Burudani, Teknolojia na Ubunifu.
Daka Code imerudi tena na this time, itakuwa ni nzuri zaidi baada ya kufanyiwa maboresho makubwa katika Audio na Video Podcast. Hii ni Intro yetu na taarifa fupi kwa wafuatiliaji wetu wote.
Karibu sana na let's get together katika codes za infos!
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

DAKA CODEBy John Jackson Msanuaji, Apollo, Octagraphy