Dini zingekua mfumo wa Mungu kwanza zenyewe zingekuwa zinaelewana pia hazifanyi watu kuwa wamoja kiutu. JADI ndio msingi wa watu wote, asili zote duniani na tamaduni zote duniani kupata usahihi wa MUNGU