Mwalimu Huruma Gadi

E4. Wagalatia Sura ya 5


Listen Later

Katika wiki hii Mwalimu anaendelea kutufundisha sura ya 5 ya Kitabu cha Wagalatia. Katika sura hii, Mtume Paulo anazungumzia uhuru wetu katika Kristo na umuhimu wa kuishi kwa kuenenda katika roho. Anaelezea namna sheria inavyopaswa kutumika katika maisha yetu, na jinsi matunda ya Roho yanavyoleta mabadiliko katika mienendo yetu ya maisha. Pamoja na namna ya kushinda changamoto mbalimbali kwa kutumia imani.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Mwalimu Huruma GadiBy Mwalimu Huruma Gadi


More shows like Mwalimu Huruma Gadi

View all
Pastor Fred Msungu by Pastor Fredy Msungu

Pastor Fred Msungu

0 Listeners