Utambulisho wako kama mrembo wa Kristo unatokana na nini? Je, ni uzuri na urembo wako? Ni ujuzi wako? Ni familia uliyozaliwa? Ni hadhi ya kielimu, kifedha? Sikiliza episode hii kujua hasa UTAMBULISHO wako unatokana na nini na kwanini ni muhimu ukafahamu chanzo cha UTAMBULISHO wako. Happy Listening ☺️
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/uplevelwithupendo/message