Una wazo, wito, msukumo ndani yako wa kufanya jambo fulani lakini unashindwa uanzie wapi. Anza kwa kuanza. Kupitia episode hii utatiwa moyo, utajifunza jinsi wengine walivyoanza katika udogo wao na mwisho wao ukawa wenye mafanikio. Happy Listening 😊
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message