Maisha yako yanaongozwa na vitu gani? Ni vitu gani unazingatia ili kufanya uchaguzi au maamuzi? Kupitia episode hii nitakujuza juu ya nini kinaweza kukusaidia katika kufanya maamuzi yako ikiwemo uamuzi wa muhimu kama nani unayeingia katika mahusiano naye na kumchagua kuwa mume au la. Happy Listening 💕
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/uplevelwithupendo/message