The Living Fully Podcast

EP 6: Christian Single Woman Must Haves | STANDARDS.


Listen Later

Mrembo, ni kwa namna gani unapima ubora wa hali unazoruhusu katika maisha yako, au ni ubora upi unazingatia juu ya aina ya watu unaowapa nafasi (access) katika maisha yako kwa ukaribu? Je, unazingatia viwango vya ubora wanaobeba watu hawa au bora liende? Je, unatafakari juu ya athari/matokeo ya kuvumilia/kuruhusu hali (experiences) hizo au watu hao katika maisha yako? Unajua kwanini unahitaji kuwa na viwango kama mrembo wa Kristo? Sikiliza episode hii kujua. Happy listening 💕
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/uplevelwithupendo/message
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

The Living Fully PodcastBy Upendo Masenga