Ni kwa kiasi gani unaruhusu au kutoa nafasi kwa mambo au watu fulani kuathiri maisha yako? Je, una mipaka katika maisha yako? Ni katika maeneo gani? Ili kujifunza kuhusu mipaka, tafadhali sikiliza episode hii hadi mwisho.
Yours in maximizing the single season,
Upendo Masenga.
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/uplevelwithupendo/message