Neno DATING limekuwa linatumika sana hivi karibuni miongoni mwa vijana. Kwa bahati mbaya si kila mtu amekuwa akilitumia ipasavyo. For some, dating ni kuwa na mahusiano na mtu, wengine ni kuingia katika zinaa na wengine hawaelewi ila wanalitumia tu. Kupitia episode hii, nitakujuza maana halisi ya dhana ya ku-date na mtu.
Ikiwa una maswali zaidi, wasiliana nami kupitia WhatsApp #0628-704781.
Happy listening π§βΊοΈπ
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/uplevelwithupendo/message