Tumepata wasaa wa kuzungumza na moja ya wasanii wa kizazi kipya na Bongo Flava kutokea Tanzania, utayafahamu mengi juu yake lakini pia kupitia yeye utapata kujifunza na kuongeza kitu pamoja na burudani pia.