Swahili Daily

Episode 1 w/ Dully Sykes afunguka baada ya Iyanya kumsukuma shabiki jukwaani


Listen Later

DULLY SYKES ASEMA HAYA BAADA YA IYANYA KUMSUKUMA SHABIKI JUKWAANI-Siku chache zilizo pita Staa wa mziki kutoka nchini Nigeria 🇳🇬 @iyanya aliweza ku make headlines mara baada ya video iliyomuonyesha akimsukuma shabiki jukwaani wakati wa show yake huko Awka,Nigeria.Hali iliyotufanya kumcheki Legendary wa mziki wa Bongo Fleva @princedullysykes atupe uzoefu wake kama ashakutana na hali kama hiyo.

Follow on:

https://audiomack.com/dejumbo

https://www.youtube.com/channel/UCHHVLfxghYy8r3b9mPFMUiw

http://tiktok.com/@dejumbo_tz

https://linktr.ee/dejumbo

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Swahili DailyBy Dejumbo