Acky Talks Podcast

EPISODE 15 - RIVALDO FERREIRA Article


Listen Later

Tumepata wasaa wa kuandaa makala ya 1 ya wakongwe na mchezaji maarufu Ulimwenguni kuwahi kujitokeza, Raia wa Brazil, aliyewahi kukipiga katika klabu ya Barcelona na mwenye mafanikio makubwa ya binafsi katika soccer mfano ile tuzo yake ya Ballon D'OR na mchezaji bora wa FIFA, na ile ya Kitimu mfano kuisaidia timu yake ya Brazil kubeba Kombe la Dunia, Kopa America na mengine mengi. Sikiliza makala hii fupi ikiandaliwa//andikwa na Said Kawage na kusomwa na Aucland Mudu.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Acky Talks PodcastBy Aucland Mudu