Sakata la Chama lafika ukingoni baada ya kufikia maamuzi ya kuongeza mkataba mpya akiwa na klabu yake ya Simba, sasa zile kelele za kuhamia upande wa pili zimekwisha, sikiliza hadi mwisho ufahamu mengine mengi juu ya hatma ya aliyekua kocha wao SVEN.